Askari aua mwanajeshi Makambako.. - DJ MTWASI

Breaking

Ijumaa, 20 Julai 2018

Askari aua mwanajeshi Makambako..



Published on Dec 27, 2017

Elimtaa Tv, is For News, ASKARI wa jeshi la wananchi kikosi cha 514 KJ Makambako Mkoani Njombe ameuwawa kwa kupigwa Risasi na askali wa jeshi la polisi ambao walikuwa ni wachumba baada ya kutokea kwa ugomvi baina yao..             

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni