Idris “Ninamjali Wema hata ingekuwa Milioni 100 ningelipa/ Ninampenzi siwezi rudiana” - DJ MTWASI

Breaking

Jumapili, 22 Julai 2018

Idris “Ninamjali Wema hata ingekuwa Milioni 100 ningelipa/ Ninampenzi siwezi rudiana”


Mchekeshaji Idriss amezungumza ishu ya yeye kumlipia Wema Sepetu faini ya Milioni 2 aliyoamuriwa na mahakama alipe ambapo kasema kuwa atamlipia kwani ni hela ndogo sana kwa mut unaemjali na hata ingekuwa Milion mia angetoa tu, hata hivyo amesema baada ya kuzungumza vile alikasirikiwa na mpenzi wake.
BREAKING:Wema amehukumiwa kwenda jela miaka miwili au faini Milioni 2...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni